Mama kulipa ada ya shule ya mtoto au kuchangia ada wakati baba wa mtoto yupo na ni mzima wa afya, ni jambo la hiari kwasababu wajibu huo uko kwa baba wa mtoto.
#SheriaYaNdoa #Tanzania